Mimba na Ukimwi Vilinitesa Sana:-Gigy Money

Mwanadada Gigy Money amefunguka na kusema kuwa katika ukuaji wake hakuna kitu kilichokuwa kikimchanganya sana kama kila nasaha anayopewa na mama yake ilikuwa ikizungumzia mimba na ukimwi kamavitu vya kuogopa katika maisha yake yote.

Gigy money anasema kuwa pindi alipopevuka na kuanza kuingia katika hatua za ujana mama yake alikuwa kila siku akimwambia kuna mimba na ukimwi hivyo kuepuka na vishawishi vitakapompelekea kupata hata  kimoja ni kwisha kabisa.

download latest music    

akiongea na kikaangoni live, gigy money anasema”nilippopevuka tu mama yangu aliniambia kabisa kuna mimba na ukimwi,na hivi vitu vlinisumbua sana lakini vilinisaidia

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.