Mimi Mars kuja na Album yake 2019

Album ni moja ya kitu kikubwa na chenye mafanikio sana kwa msanii hasa pale anapoona kuwa kuna Demand kubwa kutoka kwa mashabiki zake.Mimi mars anaamua kutimiza lengo lake kwa kutoa album ya kwanza kwa msahabiki zake.

Mwanadada huyo ambae kwa sasa anakuwa moja ya wasanii wachache wanaowakilisha vyema katika coke studio msimu huu akitokea tanzania kwa mara yake yta kwanza ameachia Extended play yenye nyimbo sita chini ya mdee music.

download latest music    

Katika album hiyo ya kwanza kutoka kwake pia ameshirikisha wasani wachache wenye vipaji akiwepo nikki kutoka tanzania, king kakak kutoka Kenya.

Mimi mars anasema ukiachana na yeye kuwa coke studio lakini kwa sasa ni muda wake muafaka kabisa kufanya hivyo kwa sababu mashabiki wanahitaji zawadi hiyo ya pekee kutoka kwake.

Mwanadad huyo anashukuru hasa kutokana na mapokezi hayo kutoka kwa watu mbalimbali baada ya kuachia Album hiyo

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.