Mimi ni Mlezi wa Wasanii wote sio WCB Pekee.-RC Makonda.

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam amefunguka na kusema kuwa yeye ni mlezi wa wasanii wote na sio WCB pekee kama watu wanavyodai lakini tu WCB walimfuata na kumuomba kuwasaidi kwa hilo.akizungumza katika futari aliyoandaliwa  Mlimani City , Makonda nasema kuwa yeye amekuwa karibu na WCB kwasababu tu walimuomba lakini sio kwamba yeye sio mlezi wa wasanii wengine.

Mimi ni mlezi wa wasanii wote lakini wasanii wanapokuomba kuwasiamamia kwa asilimia mia moja huo ni uamuizi wao tu,kwaio wao waliniomba mheshimiwa ebu tunaomba utuangalie na mimi nikasema haina shida kwa sabau waliamini wakiwa chini yangu wanaamini watafanya vizuri zaidi.

Kwa kipindi cha muda mrefu sasa, Mh Makonda amekuwa mlezi wa wasanii wa WCB na kuwa nao pamoja katika kufanya shughuli nyingi za kiamendeleo ya kijamii na muziki wao pia.

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.