Miss Tanzania yafikia kileleeni, Queen Elizabeth Atwaa Taji.

Shindano lilikuwa likiumiza kichwa watu wengi kwa muda mrefu huku kukiwa na kutupiana na lawama za hapa na pale kwa muda mrefu hatimaye Septemba 8 limefikia ukingoni baada ya kufanyika na mshindi wa taji hilo la miss tanzania kupatikana.

Mashindano hayo ambayo hapo awali yalifungiwa kutokana na maandalizi mabaya na pia lawama za hapa na pale hasa upande wa zawadi za washindi limekamilika pamoja na kwamba bado kumeonekana kuna mapungufu lakini wadau wengi wameona kuwa kampuni iliyokuwa katika majukumu hayo wameweza kujitahidi kwa kiwango chao.

download latest music    

Baadhi ya washiriki wakiwa jukwaani.

i

Miss Tanzania aliyepita akimvisha taji la ushindi Miss Tanzania wa sasa.

Miss Elizabeth akiwa tayari amevikwa taji.

 

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.