Mjukuu Wangu Tiffah Hana Gundu-Mama Diamond

Mama wa msanii mkubwa Tanzania Mama Dangote amefunguka na kusema kuwa mjukuwa wake wa kiek ambae Diamond alimpata akiwa na mwana mama wa kiganda zari ni mtoto mwenye bahati kama alivyo baba yake .Mama dangote anasema kuwa hata kitokee nini kwa mtoto huyo lakini nyota yake ya u -star iko pale pale na hakuna kinachoweza kukwamisha hilo,

Maneno ya mama huyo yanakuja baada ya kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa mtoto wa Diamond ndio mtoto wa pekee wa msanii anafuatwa na wati wengi zaidi  huku namba hiyo ikisemekana kuwa ndio afrika nzima yeye anaongoza .Tiffah anasemekana kufikia ukaribu wa umaarufu wa mtoto wa rapper  mkubwa duniani DJ Khalled.

download latest music    

katika ukurasa wake wa instagram,mama dangote aliandika “Tiffah wewe ni star kweli naona umefuata nyota ya baba yako,maana usuke usisuke , hata nyweke zinyinyoke  au zipunyuke unabaki na ustar wako tu , mungu akubariki ukue vema na kubaki na ustaa wako  na zaidi ya hapo toto yake simba, inshallah , tabu unawapa lakini kuna wengine unawakonga nyoyo zao. kwa kifupi wewe ni MAJI , hivi kuna mtoto mwingine huko mnamjua nyie. #HANAGUNDU

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.