Mke Mpya wa Charz Baba Aripotiwa Kupita na Alikiba.

Mke mpya wa Charz baba ambae amefunga ndoa na msanii huyo wikiendi iliyopita anaripotiwa kuwa alikuwa mtu wa karibu wa msanii Alikiba na kwamba mpaka sasa yuko karibu na familia ya msanii huyo.

Mwanadada huyo ambae kurasa nyingi za udaku zimeanza kumchambua na kuweka wazi historia yake inasemwa kuwa aliwahi kuwa  akijiuza huko nje ya nchi na kisha kupata pesa na kuja kuzitumia bongo na baadhi ya mastar kwa kuwa pesa.

download latest music    

Hata hivyo inasemw akuwa mwanadada huyo aliwahi kuwa na mahusiano na alikiba kwa  muda mrefu hata kufikia hatua ya kutoa psa yake kumpa alikiba na kwenda kutoa video nje  ya nchi kipindi cha nyuma.

Mwanadada huyo anaripotiwa kuwa ni rafiki mkubwa wa dada wa msanii alikiba na hii imetumiwa kama usahhidi wa kuthibitisho cha mahusiano ya mwanadada huyo na alikiba kwa kipindi cha nyuma kama inavyosemwa.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.