Mnyarwanda Alikana Penzi La Diamond

Mrembo kutokea nchini Rwanda, Shaddy Boo amefunguka iwapo amewahi kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz.Jana kwenye Red Carpet ya Biko Jibebe Challenge, Shaddy Boo akizungumza na Waandishi wa Habari alijibu hilo kwa kueleza kuwa yeye na Diamond ni marafiki tu.

“Nothing is much, we just are friend yeah!, aah!, no!, is not true we are friend,” alisema Shaddy Boo.

Mara kadhaa Diamond alipoenda nchini Rwanda amekuwa akionekana naye na kuna kipindi ilielezwa walikuwa wote nchini Kenya.

download latest music    

Pia mrembo huyo amekuwa akionekana akiimba na kucheza zaidi nyimbo za Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusababisha watu kuhoji sana ukaribu wa ghafla wa mwanadada huyo kwa Diamond Platinumz.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.