Monalisa Apewa Tuzo ya Heshima Nchini Marekani

Mwanadada monalisa maeibuka tena kidedea baada ya kupewa tuzo ya heshima nchini mrekani alikuwa amekwenda katika tamasha la wasanii wa afrika lililofanyika nchini humo.

Monalisa akithibitisha hilo kwa kuweka tuzo hiyo katika ukurasa wake wa instagram anasema kuwa hakujua chochote kuhusu tuzo hiyo na kwake imekuwa jambo la kushtukiza lakini anaona kabisa kuwa kumbe hata yeye anajulikana na kuheshimika sana huko nje.

download latest music    

katika ukurasa wake wa instagram, mona lisa aliandika “Namshukuru sana mungu kwa aliyonitendea na wala sikujua chochote kuhusu tuzo , nilialikwa kama host tu  kwa usiku wa tuzo, kumbe TAFF walikuwa na lengo la kunizawadia tuzo ya heshima pia , sijui niseme nini mimi mtoto wa Natasha  watu wa nje wananielewa hivi kwa kitu ninachofanya kwa nchi yangu,Hizi ni hisia nisizoweza kuzielezea kabisa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.