Moze Iyobo Athibitisha Yupo na Aunty

Mcheza dansi kutoka kundi la WCB mose iyobo ameamua kuwakata ngebe waliokuwa wakisema kuwa kwa sasa hana mahusiano tena n amama mtoto wake Aunty ezekiel na kwamba wameachana kutokana na michepuko.

Wawili hao ambao kila mmoja alikuwa akikwepa maswali hayo kwa muda wake huku wakionekana kuwa hawapo pamoja na kupata tetesi kuwa Mose iyobo alifumaniwa na mwanamke mwingine kutoka Kenya.

download latest music    

Moze aliwahi kusema kuwa yeye na mwanamke wake huyo hawawezi kuachana hata mara moja na ameamua kuwafungaw watu midomo baada ya kuamua kweka video katika ukurasa wake wa nsapchat akiwa na Aunty ezekiel na watu wengine wakiwa wamekaa katika mazungumzo nyumbani kwao.

Katika video iyo, moze alisema kuwa aunty ezekiel ni wake tu na hakuna mwingine, Lakini pia mose iyobo aliweka picha mpya ya aunty ezekile katika miandao ya kijamii kuthibitisha hilo.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.