Msanii Bongo Fleva Aomba Kukutanishwa na Tekno.

Msanii mpya katika Industry ya bongo fleva ameomba msaada wa wadau mbailmbali wa muziki kukutanisha na msanii mkubwa Duniani Tekno kutoka nigereia ili waweze kupanga mengi kuhusu maswala la muziki hasa kwa upande wake ambapo anaamini kuwa anahitaji msaada mkubwa kutoka kwa teckno ili kutoboa .

Msanii huyo anaejulikana kwa jina la Davista amefunguka na kusema kuwa anaamini kuwa kama atakutana na Tekno basi anaweza kutoboa sana kimuziki kutokana na ufanano wao wa sura hivyo anaweza kuwa msanii mkubwa kutoka kwa pacha wake huyo.

download latest music    

Davista ambae mpaka sasa ametoa nyimbo moja tu amekuwa akipata sifa ya kufafanani na msanii huyo na ndio maana anaamini kuwa icho kinaweza kuwa kigezo kikubwa sana cha kufanikiwa kwake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.