Msiba wa Patrick Wamtoa Lulu Mafichoni.

Baada ya kutokea kwa msiba wa mtot Patrick ambae ni mtoto kipenzi wa rafiki yake na Lulu Michael , Muna love mwanadaa Lulu ameonekana katika msiba huo akijishughulisha na kuandaa mazingira nyumbani kwa Muna ambapo ndipo iliposemekana kuwa msiba ungefikia.

Lulu ambae hakuwa akionekana kwa muda mrefu tangu alipotoka jela huku akitumikia kifungo cha nje amekuwa hajihusishi tena na maswala la mitandao tena kama zamani na ndipo watu walipomuona katika msiba na kufurahia kumuona mpenda wao,

download latest music    

Hata hivyo baada ya moja ya video kuvuja katika mitandao ya kijamii wakaanza kusema kuwa kumbe zile tetesi za kuwa lulu ni mjaomzito sio za kweli huku wengine walifurahi kumuona na kusema kwa sasa amenenpa sana.

Hata katika ukurasa wake wa Instagram, Lulu hakuwahi kupost kwa muda  mrefu sana lakini kwa mara ya kwanza tang ameenda gerezani alipost picha ya mshumaa kumaanisha maombelezo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.