Mtoto wa Dokii Aulamba, Apata Nafasi ya Kuondoka na E’too

Mwanadada aliwahi kufanya vizuri sana katika soko la maigizo nchini Ummy Wenslaus amefunguka na kusema kuwa amefurahi kupata bahati ya kuendelezwa kwa kipaji cha mtoto wake wa kiume anaejulikana kama khalfani ambae kwa sasa amekuwa akichezea Singida United.

Mtoto wa Dokii ambae ana kipaji cha mpira amehaidiwa kuchukluliwa na mchezaji huyo   Samuel E’too ambae aalikuwa hapa nchi siku za hivi akribuni na kumuahidi kuwa atakwenda kumtafutia soko nje ya Tanzania ilikukuza kipaji cahke cha mpira.

download latest music    

Dokii anasema “Alikubali kabisa kumchukua alisema kuwa anakwenda kumfanya mpango na kisha kuja kumchukua,ameguswa na mimi single mother hivyo amehaidi kuja kumchukua.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.