Mtoto wa Masogange Akataa Shule Alizohaidiwa na Wafadhili.

Mtoto wa marehemu Agness Masogange amekataa kusoma shule zote za bweni alizokuwa amepewa ahadi na wafadhili kuwa watasaidia kusoma huko na kusema kuwa anataka kubaki kusoma nyumbani kama mwanzoni kwa sababu ameshazoea kukaa na shangazi zake ambao alikuwa akikaa nao tangu hapo mwanzoni.

Akizungumza na EATV, sania anasema kuwa  napenda kukaa nyumbani kwa sababu nitawamisi shangazi zangu,shangazi zangu wote nawapenda na sijawahi kukaa nao mbali.

Wakizungumza na radio hiyo shangazi zake sania waliojitambuliha kwa majina ya Sada na  samia wanasema kuwa tangu mtoto huyo alipoanza shule hakuwahi kusma katika shule za bweni kwaio swala ya yeye kusoma boarding scholls inabidi lifikiriwe pia kwa sababu ya usalama wake.

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.