Mume wa Amber Rutty Adondoka Mahakamani

Mume  wa mwanadada Amber Rutty amesemekana kudondoka leo alipokuwa mahakamani ambapo walifika kwa ajili ya kusikiliza kesi yao inayoendelea mahakamani hapo kutokana na wao kuwa huru kwa dhamana kwa muda sasa.

Mwanadada huyo na mume wake ambao wamefunga ndoa siku chache zilizopita walipatwa na ksi ya kuvujisha video wakifanya mapenzi kinyume na maumbile na kusweka lumande kwa muda kidogo mpaka pale walipopata dhamana.

download latest music    

Amber Rutty anasema kuwa sababu kubwa ya mume wake kudondoka mahakamani hapo ni kutokana na ukweli kuwa hakuwa na hali nzuri kwa muda mrefu tangu ametoka selo mara ya mwisho.

Hali yake haikuwa nzuri tangu tulipota rumande, wote tuliondoka na magonjwa lakini mwenzangu hakuwa vizuri zaidi, lakini namshukuru Mungu kwa sasa anaendelea vizuri.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.