Muna Afika Airport Achukuliwa na Watu Wasiojulikana.

Kama ilivyokuwa ikitarajiwa kuwa mwanadada Muna na mwili wa marehemu utawasili leo airport ambapo watu walienda kwa ajili ya kuupokea mwili huo lakini ghafla uwanja wa ndege uligeuka sehemu ya kituko baada ya mwanadada muna kushuka na kuchukuliwa na watu wasiojulikana na watu wake wa karibu wala familia yake kutokuwa na taarifa zozote.

Hata hivyo moja ya wanafamilia upande wa Peter ambae ni baba mtoto wa patrick anasema kuwa kutokana na kuwa na watu wengi katika uwanja huo muna amechukuliwa na watu wa kanisani kwao na hivyo wakashindwa kutoa mwili kwa sababu document za kusafirisha mwili zilikuwa kwa muna mwenyewe.

download latest music    

kama mmeona yaliyotokea ni kwamba watu wa kanisani kwa muna wamemchukua muna hivyo document zote za kuchukua mwili zipo kwa muna hivyo ili tuupate ni lazima zipatkane document na tunajaribu kuwasiliana nao ili tuone jinsi ya kuzipata.-Alisema mdogo wa marehemu

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.