Muna Love Kurudiana na Mzazi Mwenzie

Wakati maombelzo yakiwa yanaendelea hata baada ya kuzika mwili wa mtoto patrick lakini bado kuna mengi yalikuwa yakiongelewa na kufanyika kipindi cha msiba huo ambayo inawezekana mengine yakwa ni neema kwa familia na mengine ni kama huzuni kwa wanafamilia.

katika shughuli za kuaga mwili wa marehemu Patrick siku ya jumamosi baad ya kutokea kwa mknganyiko wa muda mrefu baada ya mambo kukaa sawa na kufanikisha hatua ya kuaga mwili wa marehemu kwa ajili ya maziko kulikuwa na watu mbalimbali waliokuwa wakitoa ushauri  na kumfariji mama wa mtoto.

download latest music    

Moja ya watu waliopata nafas ya kuongea ni mchungaji katika kanisa alilozoea kuabudu muna , ambapo yeye aliona kuwa swala lililotokea limekuwa   baya na halikupendezwa kutoka na wala halikuapswa kutokea kama baba  na mama yake mtoto wangekuwa pamoja katika kila hali.

Mchungaji anawaomba wazai wa Patrick ( Muna na Peter) kufauata taratibu zote ili kurudisha ndoa walioivunja bila kuwa na kibali kutoka kwa mungu kwa sababu ndoa hiyo ilifungwa kabisani lakini wao waliamua kujiachanisha.

Mhungaji anawaomba wazazi  hao na wengine wote kuwa na moyo wa subira na kuvumiliana na sio kuchukua maamuzi ya kwao peke yao huku wakiongozwa na maneno katika mitandao ya kijamii.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.