Mungereza Aelezea Swala la Uteuzi wa Ma-Miss wa Mikoani Mwaka huu

Katibu wa baraza la sanaa  Tanzania  ,Mh Godfrey Mungereza aMefunguka katika kipindi cha leo tena kuongelea swala la ma-miss wanaoteuliwa mwaka huu ambao wanaonekana kama hawana sifa na uzuri wa kuwa ma-miss.

Akiongea na clouds  bwana Mungereza amesema kuwa kuna watu na watu wanatofautiana kutokana na malezi na balehe za umri pia lakini swala la watu kulalamikia muonekano wa ma-miss  ni swala la kawaida.

download latest music    

Akijaribu kujibu tuhuma hasa kwa miss rukwa ambae picha  yake ilisambaa sana katika myandao ikimuonesha hana muonekano wa kufanana na ma-miss waliwahi kutokea huko nyuma , Mungerza anasema kuwa  kila watu wanatofautiana katika ukuaji na ukakamavu.

swala la malezi linatofautiana sana kuwa watu wana malezi walipitia malezi  ya kudekezwa na kuna watu hawakuwahi kusekezwa kwaio kulingaa na shughuli walizokuwa wakifanya, kuna watu wataonekana wakakamavu na wapo watakaoonekana legelege kutokana na malezi na umri wake katika balehe, kwa miss rukwa nadhani picha hiyo haikupigwa vizuri kwa sababu picha nyingine zinaonekana vizuri.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.