Mwanamke Sura Tabia Tutaelezana:-Diamond Platinumz

Msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz amesema kuwa kwake yeye kitu anachoangalia kwa ajili yakupata mwanamke wa kuona sio tabIa kama wengi wanavyofanya bali yeye anaangalia sana sura kama inalipa.

Dimaond anasema kuwa mwanamke huwezi kumbadilisha sura lakini kama ana tabia mbovu unaweza kumrekebisha na kuendelea na maisha.diamond anasema kuwa kama atapewa achague kwa asilimia basi sura ni 70 na tabia ni 30.

download latest music    

kwakweli wakati mwingine tabia tunapenda lakini kitu kikubwa cha kaungalia sana ni sura ,kwakwe tabia mnaweza kuelekeza  lakini  ura mnaweza kuelekezana wapi? vipi?tabia tunajifunza kama alijifunza kuchukia lazimapia atajifunza kupenda pia.mwanamke mimi naangalia sura bhana.

Diamond anasema hayo yote lakini ikumbukwe kuwa siku za hapo nyuma mama mzazi wa msanii huyo aliwahi kusema kuwa mpenzi wa diamond wa sasa (hamisa)  hana tabia nzuri na pia ni mchafu hafai kuolewa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.