Mwasiti na Chegge Wavunja Rekodi hii Katika Muziki.

Kila msanii amekuwa na umaarufu wake katika kufanya kazi na kujlikana kwa mashabiki wake, lakini kwa upande wa wasanii hawa waili kila mmoja kwa nafasi yake anaweza kuwekwa katika kundi la wasanii wenye heshima na wenye kuficha sana maisha yao ya ndani yakabaki kuwa ya ndani na yale ya muziki yakabaki ya muziki.

Mwasiti na Chege , wanawekwa katika kundi la wasanii wenye upekee katika swala hilo kutokanana vigezo ambavyo inawezekana havifichiki kabisa.

download latest music    

Kati ya Wasanii wa kiume  wa  bongp flevawalioonekana kuwa na ‘nidhamu’ kwenye game ya muziki huo, aliongoza kwa kuonyesha nidhamu ya hali ya juu na kujiheshimu hasa kwenye upande wa mahusiano ya kimapenzi, msanii huo hakuwahi kumuonyesha hadharani mpenzi wake yoyote kabla ya kumtambulisha mama mtoto wake.

Kwa upande wa wasanii wa kike wa muziki huo ametajwa kuongoza kuwa na nidhamu na kujiheshimu hasa kwenye upande wa mahusiano ya kimapenzi hajawahi kuyaonyesha mahusiano yake hadharani kama wasanii wengine.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.