Mzee Yusuph Apanga Kuliamsha Dude

Aliekuwa nguli wa muziki wa taarabu nchini, Mzee Yusup amegunguka na kusema kuwa siku yoyote hivi karibuni atalipua bomu la watu wanaokaa na kumnafikia huku wakijifanya kuwa wanapenda sana dini.mzee yusup anasema kuwa kuna mtu ambae amekuwa akijuana nae kwa muda na anajua kuwa huyo mtu amekuwa ni moja ya watu anaowaamini ana kuwa  ameshika dini lakini kitu ch ajabu ni pale mtu huyo alipokuja na kumbadilikia kabisa kuhusu jambo fulani.

kinachoniuma ni pale muislamu mwenzako anapokujia kidini kisha anakuja kukugeuka na kukuuliza kitu ambacho mpaka kiasi kwamba unakaa unajiuliza  karidati kwani, kiuhalisia io kila mtu wa kumuamini sana mpaka uihi nae muda mrefu kidogo ili umjue na wengine washenzi  mpaka uamini kuwa ni yeye  lakini mapka ukae nae kweli , kweli usimdharau usiemjua au  usimuamini usiemjua.

Baada ya maneno hayo mashabiki wake walianza kutoa maoni na wengine kumpa pole huku wengine wakitaka kujua ni kitu gani kimemsibu baba huyo mpaka kuamua kusema maneno hayo yote ndipo aliposema tena

download latest music    

Mtanielewa tu Inshallah , ngoja bomu lilipuke  lbda Allah aniokoe , lakini siku hizi tatu kutoka leo lazima niweke wazi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.