Mzungu wa Harmonize Ajibu Tuhuma za Kutembea na Bodyguard

Wikiendi iliyopita lkulizuka kwa drama katika mtandao wa instagram kuhusu tuhuma za Harmonize kusema kuwa ni bora kama kweli taarifa alizozipata kuwa zisiwe za kweli kuwa  mpenzi wake sarah amekuwa akitoka kimapenzi na mlinzi wake anaejulikana kama Mwarabu Fighter.

Harmonize alisema hayo kwa chuki huku akisema kuwa hatopenda kusikia mpenz wake akitoka kimapenzi na mtu huyo ni bora angekuwa akitoka kimapenzi na mwanaume mwingine, baada ya kuongea hivyo mengi yalisemwa katika mitandao na ndipo sarah aliamua kumjibu kwa kuandika maneno haya:

download latest music    

i smile for the novel of instagram haaa haa realy,i m sorry for you but am not that kind of woman and as long as am taying with my man harmonize  there will be no other people  in my life and i love him more than i can imagine.

so if you want these kiki novels,go look for them in other pages,oh i forget for all people who talk badly  dont worry that i will come back and look for you.

Hata hivyo taarifa hizo za mwanadada sarah kutoka kimapenzi na mwarabu ziliibuliwa katika mitandao ya kijamii na mwanaharakati wa kimitandao Mange Kimambi , ambae mara nyingi amekuwa akisema mambo mengi yanayotendeka katika jamii.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.