Nandy , Hamisa Jukwaa Moja na Davido Sikukuu Hii.

Kwa mara ya kwanza wanadada wawil Nandy naRuby wamepangwa kuwa katika jukwaa moja la  sikukuu ya Eid, mabapo kutakuwa na msanii mkubwa kutoka Nigeria anaefanya vizuri ndani na nje  nchi yake na Dunia nzima kwa ujumla.

Wadada hao ambao waliwahi kusemekana kuwa wana bifu na kuoneana wivu muda mwingi kutokana na ukweli kuwa  wote wana sauti na vipaji vikubwa wanatarajiwa kuwa konga nyoyo za  mashabiki na kwa mara ya kwanza watawathibitishia mashabiki kuwa wapo vizuri.

download latest music    

 

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.