Naogopa Magonjwa ya Saratani, Napenda kuwa hivi:-Antu Mandoza

Mwanadada muigizaji na mtangazaji wa vipindi mbalimbali katika televisheni, Antu Mandosa amefunguka na kuopa sana kusema kuwa katika maisha yake anapenda kuwa na muonekano huo huo wa uhalisia yaani natural kutokana na kuogopa kutumia vitu vyenye kemikali kutokana na kuwa kemikali huleta magonjwa ya ngozi.

Antu anasema kuwa wanawake wengi wameikuwa wakiishi kwa kuamini kuwa kutumia kemikali kwa ajili ya ngozi zao ni bora zaidi na ni urembo bila kujua madhara makubwa anayopata mtu anapofanya hivyo.

download latest music    

Antu anasema kuwa kwa sasa ameshaona wanawake wengi wnaaharibika sana kutokana na matumizi hayo ya kemikali na ndio maana hivi karibuni anataka kuja na bidhaa zake zitazowasaidia wakina mama wenye shida ya kuathirika na kemikali katika vipodozi.

Wadada wengi wanaamii kuwa kuwa mzuri ni kutumia kemicali katika vipodozi na kui wao wakichanganya vitu visivyoeleweka hasa wengi wao wakitaka kuwa weupe.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.