Naolewa ili Kupata Faraja ya Moyo Wangu :-Wastara Juma

Msanii wa maigizo nchi Wastara Juma ambae amekuwa katika mapenzi mara kwa mara na mara nyingine kuolewa lakini mabo yamekuwa hayakwendi vizuri hivyo kuachika katika ndoa zake amefunguka na kusema kuwa amekuwa hachoki kuolewa kila siku kwa sababu kuna kitu amekuwa akitafuta katika ndoa.

Wastara anasema kuwa mara nyingia mekuwa akiamini kuwa anaweza kupata faraja ya moyo wake endapo ataolewa lakini mambo yanakuwa tofauti na vile yanavyotakiw akuwa na ndio maana amkuwa hachoki kufanya hivyo.

download latest music    

Wastara ansema kuwa pia anakuwa akiamini kuwa ipo siku anaweza kupata baba bora wa watoto wake hivyo anaamua kuolewa kwa sababu ya watito wanaohitaji malezi bora ya baba na mama.

unajua mimi pia ni binadamu kama wengine na nimekuwa nikitamani kusihi na mume ili niweze kujisikia amani kama wengine, lakini pia nimekuwa nikitamani sana wanangu wapate mtu wa kumuita baba ingawa mara nyingine mambo yamekuwa hayaendi sawa.

Wastara ambae kwa sasa amejiingiza pia katika muziki na mambo ya kujitolea kwa ajili ya jamii amekuwa akiiingia katika ndoa lakini hazikai muda mrefu na kuachika mara zote.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.