Nataka Kuoa, Imetosha Sasa Nimefanya Vingi :-Diamond Platinumz

Msanii diamond platinumz amefunguka na kusema kua kwa ke sasa imetosha kufanya yale aliyowahikuyafanya kwa muda mref na kuanzia sasa anaanza kuanda mikakati ya kufunga ndoa mwakani .

Akitaja mpaka siku yake ya kufunga ndoa, Diamond anasema kuwa ndoa yake hapo mwakani itaanza siku ya valentne day ambayo itakuwa siku ya jumatano na ndoa iyo itaendelea mpaka wikiend yot itakapoisha.

download latest music    

Diamond anasema kuwa swala la kuamua kuoa linakuja pale ambapo anaona kabisa kuwa alishapitia mambo mengi sana yanayohusiana na starehe na wala hana haja ya kuendelea kutafanya , lakini pia amekuwa na kila sababu yakuoa kwa sasa.

Mpaka anaongea hayo yote hajaweka wazi kuwa ni mwana mke gani atakae muoa lakini kwa sasa yuko katika mahusiano na mwanadada kutoka kenya anaejulikana kama tanasha.

akiongea na wasafi tv, diamond anasema “Nataka kuoa sana mwaka huu imetosha na nimesahafanya vitu vingi sana , nina kila sababu ya kuoa sasa imetosha.’

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.