Nay wa Mitego Kurudi Mtaani, Safari hii ni Zamu ya Wafanyabiashara.

Msanii anaefanya kazi mwenyewe akiwa kama jeshi la mtu mmoja amenza kuzunguka mitanaani kwa ajili ya kukutana na wafanyabiashara wadogo  wadogo ambao wamekuwa wakifanya maishara katika mitaa mbalimbali katika wilaya anayotoka.

Nay wa Mitego ameamua kugfanya hivo ili kukutana na mashabiki wake waliopo mitaani na kuangalia changamoto zao huku akiweza kutoa kidogo alichonacho kwa wale ambao anaona kuwa wanahitaji msaada zaidi.

download latest music    

Nay wa mitego hatokuwa msanii wa kwanza kuguswa na wanaofanya biashara za mitaani ingawa kwake hii sio mara ya kwanza kuingia mtaani na kuongea na mashabiki lakini pia kutoa kiasi kidogo anachokuwanacho katika kurudisha fadhila kwa watu wanaomsapoti mtaani kwake.

katika kuwasaidia wafanyabiashara hao , Nay wa mitego ameandaa shindano linaloitwa kazi ni kazi chalenge ambalo litawashindnisha wafanyabiashara na wataoshinda wataongezewa mitaji.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.