Ni kweli kuwa Jaydee anamtarajia mtoto wake wa kwanza?

Kuna fununu kuwa Jaydee na mpenzi wake kutoka Nigeria wanamtarajia mtoto wao wa kwanza. Hata hivyo hii sio mara ya kwanza kusikia kuwa Jaydee anamimba kupitia mitandaoni ya kijamii lakini picha inasombazwa mitandaoni inaonyesha kuwa kunauwezekano wa fununu hizi kuwa za kweli.

Hapo mbeleni mashabiki walimgojea kuona ikiwa mimba yake itaonekana lakini haikuwa ya ukweli. Kwa hivi sasa picha tumbo la Jaydee linaonekana kuwa linaendelea kukua lakini hii siodhibitisho ya kutosha.

download latest music    

Hata hivyo wengi wanajua kuwa Jaydee na mume wake wa hapo mbeleni waliachana baada ya kukaa kwenye doa kwa muda murefu bila mtoto. Baada ya talaka yao Jaydee alimpata mpenzi ambaye anatoka na yeye kwa hivi sasa.

Tazama picha hiyo hapa chini;

 

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua