Nikiwa Kimya Ninaweza Kuingiza Pesa Nyingi Kuliko Huko Nyuma :-Kidoa

Mwanadada kidoa ambae hapo awali alikuwa kitikisa sana katika  mitandao na mapicha picha aliyokuwa akiyapiga amekiri kuwa kwa sasa amekuwa kimya sana kutokana na ukweli kuwa amegundua kuwa akikaa hivyo anaweza kuingiza pesa nyingi sana kuliko hiyo tabia ya kukaa na kufanya vitu vya knifaisha wat wengine katika mitandao ya kijamii.

Kidoa alikuwa moja wa waliokuwa wakisfikia kwa kutupia picha za utupu katika mitandao ya kijamii lakini kwa sasa amekuwa kimya sana na mpaka baadhi ya mashabiki kushangaa ukimya wake.

download latest music    

nimekuwa kimya sana kwa sababu nimegundua kuwa nikiaa hivyo ninaweza kufanya vitu vingi vikubwa vya kuniingiza pesa kuliko hapo awali.na ukimya wangu huu napata madili makubwa sana na nimegundua kujichetua kwangu ndio kunanipotezea pesa kabisa,ila nipo na ninafanya kazi zangu kama kawaida.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.