Nilipiga Mtu Mmoja tu Nyumbani Kwangu;-P-Funk

Mtayarishaji wa muziki wa siku nyingi p-fun majani amefunguka na kusema kuwa habari zinzsambaa kuhusu yeye kuwa mkorofi na kwamba amekuwa akipiga watu studio na maeneo ya nyumbani kwake sio kweli na wala hajawahi kufanya hivyo mtaani hapo.

Alipoulizwa kuhusu kuwafukuza watu wanapokuwa wanakuja studio au kufanya nao kazi baadhi yao wamekuwa akiwapiga makofi , p-funk alijibu kuwa sio kweli kuhusu swala hilo wasanii wengi aliokuwa akifanya nao kazi alikuwa akiwajenga tu

download latest music    

sijawahi kumpa mtu yoyote makofi lakini pia niliwahi kumpiga mtu mmoja tu makofi kwa sababu alikuwa akivuta madawa karibia na eneo langu.

P-funk ni moja ya watayarishaji maarufu na mashughuli ambao walivuma sana na kuwa na mchnago mkubwa katika game hasa kwa wasnii wakongwe kama juma nature.

Akiulizwa kuhusu muziki wa juma nature kwa sasa, P-funk anasema kuwa bado anaendelea kuwa nae pamoja na kwamba sasa hafanyi kazi kwake lakini kupotea kwake hakumaanishi kuwa sio msanii mzuri

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.