Niliwahi Kupooza kwa Mwaka Mzima, Nilipona kwa Miujiza.:- Joel Lwaga.

Msanii wa nyimbo za injili, joel lwaga amefunguka na kutoa siri yake kubwa katka maisha yake kwa mkasa mkubwa uliwahi kumkuta akiwa bado mdogo na akiwa shuleni.

joel anasema kuwa aliwahi kupooza na kushindwa kufanya kitu chochote na hata kuacha kwenda shuleakimini kuwa maisha yake ya shuke yamefika mwisho, lakini kwa miujiza ya mungu aliweza kuinuka siku za mwsho na kwenda kumfanya mtihani.

download latest music    

Joel aanaelezea “nikiwa kidato cha tano, nilipooza na nikawa mtu wa kutoweza kufanya kitu chochote na niliktaa tamaa, niliktaa tamaa na nikajua kuwa mimi ni mtu wa kufa tu, lakini ziilipokaribia siku za kufanya mtihani kidato cha sita ikiwa imepita zaidi ya mwaka nilipona kwa miujiza tu.

Baba alisikitika na alisema nisifanye mtihani lakini kwa sababu ni shule za serikali, ilikuwa ni nguma kwangu kurudia darasa, hivyo nilenda kufanya mtihani hivyo hivyo kwa sababu wenzangu walishanijazia fomu.Siku ya pili nilinyanyua kwa miujiza na nikaenda ingawa niliwahi kuombwa huko nyuma lakini sikuwahi nimepokea muujiza na hata daktari aliekuwa akinifanyia vipimo alishtuka.

Joel anasema kuwa Ugonjwa huo ulitokana na matatizo katika moyo wake lakini kwa sasa hana ugonjwa huo kutokana na maombi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.