Ningekuwa Mwanaume , Nisingeweza Kupita Kwa Irene;-Gigy Money

Bifu kati ya mwanadada Gigy Money na Irene bado linaendelea na wanazidi kutoleana maneno ya kashaf katika mitandao ya kijamii, hivi karibuni Gigy Money amefunguka na kumpinda vibaya mwanadada Irene na kumwambia kuwa hana uzuri woowte labda ile rangi ndio inayompa kiburi mjini.

katika Interview yake Gigy Money anasema kuwa Irene sio mtu wa kutamani kukutana nae personally kama watu wengi wanavyomuona alivyo huko Instagram , lakini ni msichana wa kawaida tu na hana uzuri owowte huku akiongezea na kusema kuwa kama angekuwa mwanaume baai wala hasingehangaika kutembea na Irene.

download latest music    

sijawahi kufikiria kumpenda hata siku moja na hata siku tunakutana i was too drunk,na nilipokutana nae sikumjua hata mana live na personal ni tofauti kabisa,mimi ni mwanamke lakini ningekuwa mwanaume wala nisingepita.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.