Omae Lion aachia version mpya ya Reggae ya wimbo wa Diamond – Mbagala

‘Mbagala’ ndo wimbo wa Diamond ambayo ilimpa umaarufu Afrika Mashariki. Baada ya kuachia ‘Mbagala’ nyota ya Diamond ilizidi tu kung’a.

Sasa msanii mwingine anayejulikana kama Omae Lion ameamua kuachia refix ya ‘Mbagala’ huku akitumia beats za Raggae.

download latest music    

Refix hio ni kali sana, iskize hapo chini:

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere