Ommy Awaombea Mashabiki Wake Msamaha kwa Alikiba.

Msanii ommy dimpoz amewaombe mashabiki wake msamaha baada ya kutoa wimbo wake mpya wa yanje ambao amemshirikisha sayi shey na kisha katika kuutambulisha wimbo huo alikiba alisema kuwa endapo  wimbo huo utatimiza views elfu 1 basi na yeye atatoa  nyimbo zake kama tano kwa mara moja , hii ina  maana kuwa Alikiba anastock ya nyimbo kama tano zipo zinasubiri kutolewa.

Lakini hata hivyo , ommy alimwambia alikiba awahurumie mashabiki wake na kutoa wimbo mmoja mmoja kwa sababu wamekuwa na hamu ya muda mrefu sana  tangu alipotoa wimbo wake kwa mara ya mwisho wa seduce me.

download latest music    

Alikiba na Ommy ni marafiki na wamekuwa watu wa karibusana tangu waliooanza kufanya kazi pamoja chini ya menejiment yao ya rockstar400.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.