P-Funk ndio producer Bora :-Dully Sykes

Msanii anaetamba na wimbo wa kadamshi kwa sasa ambao ameimba akiwa na Harmonize  amefunguka na kusema kuwa kwa upande wake anaona kuwa P-funk majani ndio mtayarishaji bora wa muziki aliyepo bongo anaeongoza watayarishaji wote Duniani.

kwa upande wangu P-funk majani ndio mtayarishaji bora kuliko watayarishaji wote duniani kwa sababu siwezi kumtaja dk dree wakati sijawahi kufanya nae

download latest music    

Dully pia anasema kuwa kwa sasa muziki wa bongo umebadilika sana kwa sasa na ndio maana hata muonekano wa wasanii na mavazi kwa sasa wamekuwa na utofauti mkubwa sana kuliko zamani .

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.