P-Square Aikubali Kwangaru ya Harmonize

Msanii mkubwa, mkongwe na mkali kutoka nchini Nigeria P-SQUARE,  amefunguka na kusema kuwa katika nyimbo bora anazozikubali sana kutoka nchini Tanzania ni ule wa kwangaru kutoka hapa nchini wa Harmonize na Diamond.

Akiongea katika moja ya mahojiano yake,p-square alisema  kuwa wimbo huo mabao ulipata headline zaka katika vyombo vingi vyahabari umekuwa moja ya nyimbo zake anazozikubali sana kutoka nchini.

download latest music    

Wimbo wa Kwangaru, ni moja ya nyimbo kutoka lebo ya wcb ambao umefanya vizuri sana kwa mwaka huu kwa vyobo vya ndani na nje ya nchi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.