Pam D Aelezea Jinsi Wasanii Wa Kike Wanavyokatishwa Tamaa na Wapenzi wao

Mwanadada  Pam d amefunguka na kusema kuwa mara nyingi mahusiano pia uwakwamisha sana wakina dada na kujikita wanakata tamaa kabisa ya kufanya kazi za sanaa.Akielezea kwa undani zaidi, pam d anajitolea mfano wake na kusema kuwa hata yeye mpenzi wake aliwahi kumzonga sana kila napopata sapoti kutokwa kwa msanii wa kiume.

sijawahi kuachana na mwanaume kisa muziki lakini ushauri na kulalamika pam sijui nini na kukorofishana ndo kwingi sana,na kuhisiwa kuwa unatoka na msanii mwingine kisa muziki ni mara nyingi kwa mfano unaona labda diamond kakupost sana anaanza kuuliza kwanini wewe na sio msichana mwingine,

na hii imekwamisha wasichana wengi sana ktika muziki na katika game ndo  sababu hakuna wasichana wengi katika game kwa sababu hiyo,na wasichana sisi sijui tukoje unakuta ukishaambiwa hivyo basi na wewe unakuwa kama umepunguzwa makali

Pam d anasema kuwa miwsho wa siku wadada wengi wanaishia kuolewa na kufuata kile anachokitaka mwanaume kwa sababu tu mwanaume anakuwa alikwisha mkatisha tamaa siku nyingi.

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.