Pamoja na Kumtongoza Mchumba wa Mc pilipili, Gigy Hatoachana na Mo Jay

Mwanadada Gigy money pamoja na mpenzi wake ambae pia ni baba wa mtoto wake mmoja wa kike Mo jay amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba amekuwa akipata mambo mengi yanayomhusu mwanaume huyo lakini anajikuta anashindwa kabisa kumuacha mwanaume huyo.

wawili hao ambao walionekana wakiwa wanagombana katika moja ya video zilizosambaa sana katika mtandao wa instagram, baada ya shilawadu kumnpelekea umbea gigy money baada ya mwanadada phinomena kupiga picha mazungumzo yake na mwanaume huyo akiwa anamtongoza.

download latest music    

Hata hivyo Gigy Money alipopewa taarifa hizo alipaniki sana lakini baadae aliweka maneno ambayo yalionesha kuwa ameshakubaliana na hali halisi ya mwanaume wake kuwa anacheat kila wakati.

Katika ukurasa wake wa instagram, Gigy anamwambia baba wa watoto wake kuwa  awe anaangalia wanawake wa kuwatongoza kwa sababu wengine watamuhaibisha . lakini pia anamwambia kuwa kwa sababu hakuwa amekubaliwa na mwanadada huyo basi asijali pesa aliyotaka kumtumia mwanamke hiuyo aitumie kwake ili akamnunulie mtoto chakula na nguo.

Hata hivyo gigy anakiri kuwa anashangaa ni wapi mwanaume huyo amekuwa akienda kumloga kwa sababu kila mara anaposema anataka kumuacha anashindwa hivyo kwake yeye na baba wa mtoto wake hawana tatuzo kwa sababu muda huo alikuwa nae ndani akimbembeleza kwa maneno ya uongo.

Katika ukurasa wake aliandika

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.