Patoranking atangaza ujio wa wimbo wake na Diamond Platnumz

Patoranking, mwanamuziki kutoka Nigeria ambaye anasikika kwa ngoma kali kama ‘No Kissing Baby’, analenga kupata umarufu zaidi Afrika Mashariki kupitia kwa Diamond.

Hit maker huyo ametangaza ujio wa wimbo wake mpya ambayo amemshirikisha Simba, wimbo huo ‘Love You Die’ utatolewa Septemba mwaka huu.

download latest music    

patorankingfireWait for it…2 More videos “This Kind Luv ft Wizkid” ” Halle Halle” Drops next from #GOETheAlbum #Skylevel

 

 

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua