Paula wa Kajala Azua Gumzo na Video Yake ya Kichambo

Mtoto wa Kajala Masanja, moja ya wasanii wakubwa wa bongo  movies ameacha gumzo baada ya video yake kusambaaa katika mitandao ya kijamii akiwa anaonekana akiimba na kusema maneno ya dharau ambayo kwa namna moja ama nyingi yanaweza kuwa ni kama kichambo kwa waliokuwa wakimsema vibaya.

Mtoto huyo ambae aliwahi kusemwa sana katika mitandao kwa sababu ya swala lake la kufeli mitihani, ameonekana kuongea huku akikaririwa akisem “I DONT CARE ” hasa kwa yale wanayosema na wala hajali kitu kuhusu mtu yoyote.

download latest music    

Video hiyo imechukuliwa na kutasfiriwa  tofauti na kila mtu katika mitandao ya kijamii.

https://www.instagram.com/p/BuWIm0iDO_A/

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.