Pck Afufuka Tena, Amsifia Mkewe na Kumponda Wema

Mwanaume aliyedaiwa kumtapeli Wema Sepetu baada ya kuingia nae katika mahusiano ya kimapenzi na kmdhalilisha sana kipindi cha nyuma.

Mwanaume huyo ambae aliweza kuvujisha picha na video za Wema wakiwa faragaha, pia aliweza kutokomea kusiko julikana na kumtishia sana wema kuwa kama ange muacha basi angefanya kitu kibaya zaidi.

download latest music    

PCK ni moja ya wanaume ambao waliweza kumuingiza wema katika matatuzo makubwa kutokana na kesi hiyo ya ukosefu wa maadili kusimamsiah mambo mengi wema aliyokuwa anatakiwa kufanya kwa wakati huo na kujikuta akishgughulikia kesi iliyotia familia na ndugu zake aibu.

Hata hivyo mwanaume huto pamoja na kwamba amekuwa akitafutwa kama inavyoripotiwa amekuwa akitokea katika mitandao ya kijamii bila kuwa na uthibitisho kama ndio yeye au ni mashabiki wake na kuanza kumtuka mwanadada wema sepetu.

Wikiendi hii aliweza kuandika haya katika ukurasa wake huku akimsifia mke wake na kumponda sana wema “

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.