Picha 10 za mpenzi mpya wa Jacqueline Wolper

Jacqueline Wolper alimtambulisha mpenzi wake mpya siku chache zilizopita. Muigizaji huyo wa Bongo movies aliweka picha za mpenzi wake mpya kwenye mtandao wa instagram kujulisha watu kuwa amepata mshikaji mwingine.

Mpenzi mpya wa Wolper anajulikana kwa jina la Brown, tazama picha zake hapo chini:

download latest music    

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere