Picha 10 za mtoto wa Rayvanny – Jaydan

Rayvanny na mpenzi wake Fahyma walijaliwa kupata mtoto wa kiume miezi mitatu zilizopita. Muimbaji huyo alikua mzazi kwa mara ya kwanza mtoto wake alipozaliwa.

Jaydan, mtoto wake Rayvanny, ameanza kufanana na babake kwa umbali. Tazama picha za mtoto huyo hapo chini:

download latest music    

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere