Picha 10 za Will Smith, David Beckham na mlinzi wa Liverpool Mamadou Sakho wakiwa Tanzania kwa ajili ya mapumziko

Tanzania inajulikana ulimwengu nzima kwa utalii wake, nchi hii inajuvunia kupata watalii wengi kutoka kote ulimwenguni waokuja kuzuru mbuga za wanyama na kuogelea kwenye bahari.

Watu mashuhuri duniani kama Jay Z na Beyonce wamewai kuzuru Tanzania kwa ajili ya mapumziko. Mwaka huu pekee Tanzania imepata wageni watatu mashuhuri.

download latest music    

Mwigizaji maarufu wa Hollywood Will Smith pamoja na familia yake walizuru Tanzania mwaka huu kwa ajili ya mapumziko. Walizuru mbuga la wanyama la Serengeti.

Mwaka huu pia mlinda lango wa klabu ya Liverpool Mamadou Sakho pia alizuru mbuga la wanyama la Serengeti akiwa na familia yake.

David Beckham, staa wa zamani wa Manchester United, Real Madrid na England, pia alizuru Serengeti siku chache zilizopita akiwa na familia yake.

 

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere