Picha 5 za muigizaji mkongwe wa Hollywood – Harrison Ford akiwa Tanzania

2017 imekua mwaka wa fanaka kwa utalii nchini Tanzania, wageni mashuhuri wamekuja nchini kuzuru mbuga za wanyama hususan Serengeti.

Will Smith, David Backham na wachezaji mashuhuri wa kandanda duniani wamezuri Tanzania mwaka huu. Mwimbaji Usher Raymond pia alitoa nchini hivi karibuni.

download latest music    

Soma pia: Usher atua Tanzania akisafiri kwa ndege ya kibinafsi

Muigizaji mkongwe wa Hollywood – Harrison Ford maarufu kwa filamu kama ‘Air Force One’, msururu wa ‘Indiana Jones’, ‘The Expendables 3’ na filamu zingine kadhaa, pia alizuru Tanzania.

Harrison Ford alizuru mbuga ya wanyama ya Serengeti, ilijulikana kuwa muigizaji huyo mkongwe alikua Tanzania wakati alikua anaondoka.

Tazama picha za Harrison Ford akiwa Tanzania hapo chini:

 

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere