Picha za Alikiba Akiwa Amebeba Mtoto Zazua Gumzo.

Baada ya hivi karibuni Alikiba kukanusha vikari tetesi zinazoendelea juu ya familia yake kuwa mke wake ni mjamzito, kuna picha  imekuwa ikisambaaa katika ktandao ya kijamii ikiwa inamuonyesha alikiba akiwa amebeba mtotona pembeni yake yuko mtangazaji Dullah planet wa EATV.

Hata hivyo hakukuwa na madhara yoyotekatika picha hiyo zaidi ya mashabiki kaunza kuweka maoni yao huku wakimpongeza msanii huyo kwa kupata mtoto ilhali Alikiba mwenyewe hajathibitisha hilo na wala hakuna ukweli au uogo uliosema na watu wake wa karibu kuhusu swala hilo.

download latest music    

Hata hivyo, Alikiba aliwahi kusema kuwa sio kweli kwamba mkewe ni majmzito na kwamba alimekuwa akichoshwa na maneno hayo katika mitandao ya kijamii kuhusu swala la mke wake kuwa mjamzito.

Basi kama kuna ukweli wowote wa tetesi hizo , tunampa hongera nyingi msanii alikiba kwa kuongeza famialia yake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.