Picha za Vannesa na Jux Walipowatembelea Watoto Muhimbili

mwanadada vannesa  mdee na mpezni wake Jux wametembelea hospitali ya muhimbili walipoenda kukutana na watoto wenye matibabu maarufu ya saratani katika kituo hicho.vanesa na jux walichangia na kucheza na watoto ili kuwafariji na kwapa  moyo.

download latest music    

vannesa na jux wakiwa wanafurahi na watoto

 

vannesa akiwa na baadhi ya wauguzi na wataalamu katika hodi hiyo

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.