Pretty Kindy kuja na NG0 ya Kusaidia Wasichana.

Mwanadada Pretty Kindy amefunguka na kuongelea swala la yeye kutaka kufungua asasi ya kijamii itakayosaidia kuelimisha jamii lakini pia kuwatoa wasichana katika ugumu wa maisha na kujiingiza katika mambo mabaya kama kujiiuza.

Akijitolea mifano wa maisha yake na stori yake ya maisha aliyowahi kuipitia, Pretty kindy anasema jamii inakuwa na uelewa mdogo wa kuwalaumu watoto wa kike  bila kuangalia mazingira gani watoto hao wamekulia, wanashindwa kutambua kuwa kuna muda mazingira magumu yanawafanya wanakuwa wanajiingiza katika mazingira hayo.

download latest music    

nina plan kufungua NGO ambayo itakuwa inawalenga watoto wa kike sana na kutoa ushauri kwa ajili yao,mana unakuta kina toke akitu kama kilichonitokea mimi lakini wanalaumiwa watoto lakini hapana , hapo wa kulaumiwa ni wengi, kuna wazazi kuna jamii pia .

kuna muda msichana anapitia mazingira magumu ya malezi lakini baadae anapokuja kufanya hayo anayoyafanya unakuta yeye ndio analaumiwa bila kuanagalia alipoptia mwanzo, lakini nataka kuwaonyesha  kuwa kila kitu kinawezekana na pia kama mimi niliweza kuacha basi kila mtu anaweza kama atakuwa tayari.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.