Q-chillah Ndie Aligundua Kipaji Changu.:-Shiloleh

Mwanadada shiloleh ameongea na kuonyesha shukrani zake kwa msanii mwenzake Q-chief huku akisema kuwa msanii huyo ndie aliegundua kipaji chake cha kuimba na kumshawishi kufanya muziki.Shiloleh anasema kuwa kitu kikubwa alichokuwa najua anacho ni kuigiza na wala sio kuimba ingawa alikuwa akiona watu wanaimba alikuwa anatamani sana .

Shiloleh anasema kuwa pamoja na kwamba alikuwa antamaa ya kuimba lakini hakuwahi kujua ni wapi angeweza kwenda kwa ajili ya kutoa kimuziki lakini baada ya kukutana na Q-cheif ndio alimshawishi na kumtia moya sana kwamba angeweza kuimba na kumsaidia kugundua kipjai chake.

download latest music    

Unaweza kuwa na kitu ndani yako lakini usijue kama kuna kitu ndani yako,ila mimi sasa hivi nina fanya vizuri kuliko hata nilivyokuwa nina fanya katika bongo movies.lakini pia katika muziki nina kuwa huru sana kuliko hata  kwenye movies.

Shiloleh anaongezea na kusema kuwa aliposikia kuwa Q-chillah anaacha muziki aliumia sana kwa sababu anamjua sana kuwa msanii huyo anakipaji sana.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.