Rachel Kizunguzungu Adai Hawezi Kutoka na Wasanii Wa Bongo

Msanii wa Muziki wa Bongo fleva Rachel Kizunguzungu ameibuka na kudai kuweka wazi kuwa hawezi kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na wasanii wa Bongo.

Rachel amesema itakuwa ngumu kwake kuwa na Mahusiano na wasanii kwani wengi wao anawajua tabia zao kwa sababu ameshaishi nao na kuyaelewa mapungufu yao:

download latest music    

Kwenye mahojiano na Kipindi cha Refresh cha Wasafi Tv, Rachel amefunguka haya:

Haijawahi kutokea na wala haitokuja tokea mimi kutembea na wasanii kwa sababu nawajua tabia zao na wengi wao wameshatembea na wasanii wengi katika Industry hii hii kwaiyo kwangu mimi itakuwa ngumu”.

Lakini pia Rachel amekana viali taarifa kwamba ametumia mikorogo kutengeneza rangi ya mwili wake aliyonayo sasahivi:

Naomba niseme tu wazi kuwa mimi situmii mkorogo kwa sababu ukisema mkorogo inauzwa bei chee tu madukani mimi mafuta yangu ninayopaka ni expensive kopo moja nanunua laki moja na nusu ili kupata kitu kizuri kwa ajili ya mwili wangu.

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.