Rommy Jones Ataka Kumuunga Mkono Wema kwa Hili.

DJ maaarufu kutoka wcb, rommy jones ametaka kumuunga mkono wema sepetu katika  kampeni yake ya kusuka nywele za twende kilioni ikiwa ni kampeni aliyoianza wema katika kutangaza matangazo ya kombe la dunia kwa kiswahili katika kingamuz cha star times.

Uamuzi huo wa Rommy unakuja baada ya Wema kuweka posti akiwa na twende kilioni huku akihamasisha watu wengi kusuka na kupika picha zao huku akiwaomna kuweka picha zao kisha yeye atazi-repost.

download latest music    

Majibizano yao yamekuwa n kama ya utani lakini, Rommy amesema kama wanaume pia waaruhusiwa basi hata yeye anamuunga mkono wema kwa kuamua kusuka twende kilioni.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.